Kwa habari motomoto,
Movie mpyaaa!!
au Comedy za kufa mtu!!
Tafadhali comment kisha weka namba yako
TANGAZO
Mkuu wa studio ya
kurekodia ya Amazon, Roy Price,ameamua kujiuzulu baada ya taarifa za
kumnyanyasa mzalishaji mziki na kutupilia mbali shutuma za unyanyasaji wa
kingono dhidi yake zilizotolewa juu ya mcheza filamu nguli Harvey Weinstein.
Kujiuzulu kwake kunafuatia ujumbe mfululizo kwenye
mtandao wa kijamii uliokuwa ukitumwa na muigizaji mwenye asili ya Marekani Rose
McGowan ujumbe huo ukielekezwa zaidi kwa mkuu wa Amazon, Jeff Bezos.
Katika moja ya ujumbe huo anasema Bw Price alikuwa
amepuuza mara kwa mara malalamiko yake ya ubakaji aliotendewa na bwana
Weinstein.
Mzalishaji huyo wa muziki amekana tuhuma zote za
kudai kuwa kulikuwa na kitendo cha ngono isiyo ya kujamiiana. Mpaka sasa hakuna
maoni kutoka kwa mtuhumiwa bwana Price.
Emoticon Emoticon