MJUE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI

Kwa habari motomoto,
Movie mpyaaa!!
au Comedy za kufa mtu!!
Tafadhali comment kisha weka namba yako
TANGAZO
MWANAMAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani ndiye mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya futi 8....Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 mlangoni na hukalia siti mbili ktk ndege.
Mikel mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa tu kwa vile mwili wake mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti chenye uimara wa ziada nyumbani na siku Zote anajikubali.
TANGAZO


Emoticon Emoticon

Copyright © 2017 Best Kesha Tv - Thank . You For . Visting .