Kwa habari motomoto,
Movie mpyaaa!!
au Comedy za kufa mtu!!
Tafadhali comment kisha weka namba yako
TANGAZO
Mapenzi yanapoisha na uhusiano
kuvunjika huwa inaumiza na hiyo
inapelekea wengine kuwekeana
kinyongo, kutosalimiana au
kutotaka kabisa hata kumsikia
mwenzake.Wolper aliwahi kusema
kwamba huwa hapendi kumkumbuka
na kumpa nafasi Mwanaume
alieachana nae haswa Mwanaume
aliempenda kisawasawa ila
inaonekana sasa hivi maumivu
yameondoka na hana kinyongo
na Harmonize.Saa kadhaa zilizopita
alitumia Instagram yake kuusifia
huo wimbo kwa kuandika “Haka ka
nyimbo kazurii sana na video pia
ndio usiseme, bwana Raaaaaj umejua
kunyoosha, kama bado hujaangalia
video ya haka ka wimbo pita kwenye
bio ya @Harmonize_tz #
uliemchokozakaja #shulala
#NaukinibipuTuNakupigia”
Emoticon Emoticon